Thamani ya mtu wengi wanaujua akishaondoka! Rayvanny's message to Diamond

Rayvanny


Rumors have been surfacing the internet of Rayvanny leaving WCB Wasafi classic. This is after he missed the launch of Diamond's album Kijana wa Tandale in Kenya, and was on a tour in the US.

Rayvanny and Diamond

The hardworking Kwetu hitmaker has climbed the ladders of success after he joined Wasafi in 2016  and is now among the top decorated artists in Tanzania. n his Instagram, he pointed out the relevance of Diamond in the music industry;
Kuna Vitu Pengine Unaweza Ukawa Unapatia Au Vingine Unakosea Sitaki Kuongelea Hilo Sababu we nawe Ni Binadamu. ILA KWENYE KUSEMA UKWELI NITASEMA!!!! Si kwa Sababu wewe Ni boss Wangu Hapana!!! Ila Mara Nyingi Thamani Ya mtu Na Umuhimu Wa Mtu wengi Wanaujua Akishaondoka.... MZIKI NI KAZI NA NI AJIRA Namaanisha Kuna Familia Nyingi Zinaishi kupitia Huu huu mziki. DIAMOND KATIKA WASANII WOOOTE Umekua chachu Ya Kuongeza Thamani Ya Muziki Nakupitia wewe naamini Wengi Wanafanikiwa.... KUJITOA KWAKO, KUAMINI KATIKA UMOJA NA PIA KUTHUBUTU Ndiko kunafanya Unafanikiwa.... USHAAMBIWA HUJUI KUIMBA ila ukaimba ukafanikiwa... USHAAMBIWA UNAVIMBA UNAIGIZA MAISHA Lakini sasa Unayaishi hayo Maisha... Hakuna Anaefanikiwa Akakosa maadui ndivyo Dunia Ilivyo .. MIMI ULINISAIDIA ULIJUA SHIDA ZANGU Naamini Mungu Alikutumia wewe Ukawe Mkombozi Wangu ....... KWAIO KUMBUKA ( ILI MBEGU IOTE LAZIMA IOZE ) SINA MUDA KUMSEMA MTU ILA NAKUPA MOYO FANYA KAZI SIMBA....... kama Wewe Unaamini Katika Upendo Na sio Chuki, Vita Na Matusi JUS COMMENT ( LOVE )"

Is this an indication that he is leaving Wasafi?

Comments